Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Aprili 3, 2025
Chuo cha Maji (WI), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Taasisi ya Ardhi Morogoro (ARIMO), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), wanakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na ari ya kufanya kazi kujaza nafasi hamsini na saba (57) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 03 Aprili, 2025.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI>>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA