Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Juni 17, 2025
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, uwezo na ari ya kufanya kazi, ili kujaza jumla ya nafasi hamsini na saba (57) za ajira katika taasisi hizo.
Maelezo kamili kuhusu nafasi hizo, sifa zinazohitajika, majukumu ya kazi na utaratibu wa kutuma maombi yatatolewa katika tangazo la kazi kamili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 16 Juni, 2025.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA