Nafasi Za Kazi 58 Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Na Chuo Cha Bahari Dar (DMI)
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki na uwezo kuomba nafasi hamsini na nane (58) za ajira kama ilivyoainishwa hapa chini.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18 Juni, 2025.
BONYEZA HAPA >>NAFASI ZA KAZI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI(NIT) NA CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI)