The House of Favourite Newspapers

NAFASI ZA KAZI 6 KUTOKA KATIKA GAZETI LA RISASI MCHANGANYIKO

0

NYOTA ARTS GROUP NAFASI: Wasanii 30 SIFA: Wanahitajika kwa ajili ya kucheza tamthiliya, wawe wanapenda sanaa, awe tayari kukaa kambi, elimu kuanzia kidato cha nne, hata kama hawajawahi kufanya sanaa watachukuliwa MAWASILIANO: 0659 330107 Mwisho wa kupokea maombi ni hadi wapatikane.

 

** MAFANIKIO ARTS GROUP NAFASI: Wasanii 50 SIFA: Vijana wa kike na kiume, wenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea, wawe wanaipenda sanaa kutoka ndani ya mioyo yao MAWASILIANO: 0656 33 62 74 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi wapatikane.

 

** HOTEL RAS NAFASI: Wahudumu SIFA: Vijana wa kike wenye umri kati ya miaka 18-20,
wasafi na waaminifu, awe anajua kuzungumza na kuandika kwa ufasaha Kiswahili, awe mkazi wa Dodoma au jirani, hakuna usaili kwa njia ya simu au barua pepe

MAWASILIANO: 0623 488351 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi wapatikane.

 

** KANJANJA BARBER SHOP NAFASI: Kijana wa kiume kinyozi SIFA: Awe mwaminifu na uzoefu wa kunyoa mitindo mbalimbali, asiwe chini ya miaka 25, awe mkazi wa Mbagala au Chamazi au sehemu yoyote karibu na huko. MAWASILIANO: 0688 26 05 45, 0713 26 05 45 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana. **

HEALTH BASKET FUND NAFASI: Mtaalam wa Afya SIFA: Awe na shahada ya pili ya udaktari, uzoefu wa
miaka mitano kazini, miaka kumi ya uzoefu katika anga za kimataifa, anayeongea na kuandika kwa ufasaha Kingereza. MAWASILIANO: www. devex.com Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 12, mwaka huu. ** DAR ES

SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION (DUCE) NAFASI: Dereva SIFA: Awe na cheti cha elimu ya sekondari, akiwa amefaulu masomo ya Kingereza na Kiswahili, mwenye cheti cha ufundi wa matengenezo ya magari, leseni iliyo hai pamoja na uzoefu wa miaka mitatu kazini. MAWASILIANO: Naibu Mkuu wa Chuo, Utawala, Dar es Salaam University College of Education (DUCE), P. O. Box 2329, Dar es Salaam Mwisho wa kutuma maombi Oktoba 26, mwaka huu

Leave A Reply