Nafasi Za Kazi 6,732 LGAs, Mwisho wa Kutuma Maombi Juni 26, 2025
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 6,732 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Juni, 2025
BONYEZA HAPA >>> TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LGAs