Nafasi za Kazi 7 MDAs & LGAs, WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II
POST | WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II (STATE ATTORNEY II) – 7 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-04-19 2023-04-25 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuendesha mashauri mepesi mahakamani;
ii.Kuendesha kesi za Rufaa Mahakama Kuu; iii.Kutoa ushauri wa kisheria kwa serikali chini ya usimamizi wa Mawakili Waandamizi; iv.Kushughulikia kesi za vizazi, vifo, ndoa na kesi zinazotokana na mirathi Mahakamani; v.Kusimamia utayarishaji wa takwimu zinazohusu ndoa, talaka, mabadiliko na mabatilisho ya ndoa; vi.Kutayarisha maandishi juu ya Sheria ambazo Serikali/Tume ya Kurekebisha Sheria inataka zifanyiwe utafiti na kurekebishwa; vii.Kufanya utafiti wa Sheria; na
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sheria (LL.B) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kumaliza vizuri mafunzo ya uwakili ya mwaka mmoja katka shule ya sheria ya Tanzania (Law School of Tanzania) |
REMUNERATION | TGS.E |