Nafasi za Kazi 72 TARI, NIRC, NSI, EWURA na PSRS Maombi Mwisho leo Feb 17
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), na Shirika la Mzinga, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na ari ya kufanya kazi kujaza nafasi sabini na mbili (72) za ajira kama zilivyoainishwa hapa chini.
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 17 Februari, 2025.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >>> NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA