Nafasi Za Kazi 95 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Oktoba 13, 2024
Kwa niaba ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku ya Tanzania (TORITA), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Utafiti wa Jiolojia Tanzania (GST) na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) Utumishi wa Umma Sekretarieti ya Ajira inawaalika wenye sifa mahiri, makini, wenye uzoefu na wanaofaa Watanzania kujaza nafasi tisini na tano (95) kama ilivyoainishwa hapa chini.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 13 Oktoba 2024