Nafasi Za Kazi Bodi Ya Nyama Tanzania (TMB), Mwisho wa Maombi Nov 10, 2024
Kwa niaba ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania mahiri, makini, wenye uzoefu na wanaofaa kujaza watu watatu (3) nafasi zilizo wazi kama zilivyotajwa hapa chini;
– FOOD TECHNOLOGIST GRADE II – 3 POSTS
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 Novemba 202
NAFASI ZA KAZI BODI YA NYAMA TANZANIA (TMB)>>> BONYEZA HAPA