The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kilianza kama Shule ya Tiba ya Dar-es-Salaam mwaka 1963. Shule hiyo ilibadilika na kuwa Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam mwaka 1968. Kitivo hicho kiliunganishwa na Hospitali ya Muhimbili na kuunda Kituo cha Tiba cha Muhimbili (MMC) mwaka 1977.

Baada ya kutenganishwa na Hospitali ya Muhimbili, Kitivo cha Tiba kilipandishwa hadhi mwaka 1991 kupitia Sheria ya Bunge Na. 9 ya mwaka 1991 na kuwa chuo tanzu cha Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam kilichojulikana kama Chuo cha Sayansi za Afya cha Muhimbili (MUCHS).

ASSISTANT LECTURER – OPTOMETRY – 1
ASSISTANT LECTURER – MICROBIOLOGY AND IMMUNOLOGY – 1
ASSISTANT LECTURER – PHARMACEUTICAL MICROBIOLOGY – 1
ASSISTANT LECTURER – EPIDEMIOLOGY AND BIOSTATISTICS – 1
ASSISTANT LECTURER – NUTRITION – 1
TUTORIAL ASSISTANT – AUDIOLOGY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – OCCUPATIONAL THERAPY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – OPTOMETRY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – PHARMACEUTICS – 1
TUTORIAL ASSISTANT – PHARMACY PRACTICE – 1
TUTORIAL ASSISTANT – CLINICAL NURSING – 2
TUTORIAL ASSISTANT – NURSING MANAGEMENT – 1
TUTORIAL ASSISTANT – NUTRITION – 1
TUTORIAL ASSISTANT – HISTOLOGY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – RADIOGRAPHY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – ANTHROPOLOGY – 1
TUTORIAL ASSISTANT – CLINICAL CHEMISTRY – 1

Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 25 Machi, 2025.

Soma zaid hapa bonyeza >>>> NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS)