The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi Dar Live

KAMPUNI ya Dar Live iliyopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam inayojishughulisha na burudani, ukumbi wa sherehe n.k, inatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa baa.

Sifa

  1. Jinsia yoyote, umri kuanzia miaka 20-35.
  2. Awe na ujuzi na uzoefu usiopungua miaka miwili katika kazi hii
  3. Awe na uwezo wa kujisimamia, kujituma na muaminifu katika kazi.
  4. Awe tayari kufanya kazi kwa muda wa ziada.

MAOMBI:

Maombi yaletwe haraka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge kabla ya Januari 31, 2017 au yatumwe kwa meneja Mwajiri, Dar Live Ltd, S.L.P 7535 Dar es Salaam

Comments are closed.