The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Mji Handeni, Mwisho wa kutuma maombi Mei, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni -Tanga amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo
anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo:-