The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Bahi, Mwisho wa maombi Julai 14

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi amepokea kibali kuhusu utekelezaji wa ajira mpya katika Mwaka wa fedha 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utmushi wa Umma na Utawala Bora.

Hivyo Mkurugenzi Mtendaji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kuomba nafasi za kazi zifuatazo.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Julai , 2025