Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kongwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kufuatia kupokea kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri
ya Wilaya ya Kongwa kutuma maombi ya kujaza nafasi ya kazi kama ifuatavyo;