Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa, Mwisho wa kutuma Julai 13
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/4/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya nafasi mbalimbali kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa:-
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 13 Julai, 2025