Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa, Mwisho wa maombi Aprili 5, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo, watanzania wote wenye sifa na uwezo wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kujaza nafasi zifuatazo:
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 05 April, 2025 saa 6.00 Usiku.