The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mufindi, Mwisho wa maombi Julai 10

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 na kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01H/042 cha tarehe 03 Juni 2025.

Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa ya kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo;