The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ngara, Mwisho wa Maombi Aprili 24

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-