The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi 43 Kampuni Ya Meli Na Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Tanzania (TMA)

Kampuni ya Usafirishaji Tanzania (TASHICO) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa, uwezo na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi arobaini na tatu (43) za ajira kama zilivyoainishwa hapa chini.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 08 Juni, 2025.

BONYEZA LINK HAPA CHINI KUSOMA ZAIDI