Nafasi za Kazi leo Kutoka Gazeti la Risasi
PANDEHIZI BLOGSPOT NAFASI: Vijana wa kupost vitu mitandaoni SIFA: Awe na kompyuta mpakato, smartphone, ajue kupost vitu kwenye blog, umri kuanzia miaka 20-25 MAWASILIANO: 0656 578689 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi apatikane.
** TANZANIA RED CROSS SOCIETY NAFASI: Afisa Habari SIFA:Mwenye uwezo wa kutumia aina zote za mawasiliano kama website na kuandika press release, mwenye uwezo wa kutumia kompyuta, mwenye uwezo wa kuwasilisha mada kwa washirika, wadau na jamii, uzoefu wa kutosha MAWASILIANO: The Secretary General, Tanzania Red Cross Society, Po Box 1133, Dar es Salaam Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 22, mwaka huu.
** IRINGA WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY (IRUWASA)
NAFASI: Injinia SIFA: Diploma au digrii ya Ufundi, Vyanzo vya maji kutoka vyuo vinavyofahamika, awe amesajiliwa katika Bodi ya Mainjinia na awe na uzoefu wa angalau miaka minne kazini na mwenye umri wa kuanzia miaka 30-45. MAWASILIANO: Mkurugenzi Mtendaji, IRUWASA, P.O. BOX 570, Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 29, mwaka huu.
** PATTERSON GROUP LIMITED NAFASI: Mtu wa mapokezi SIFA: Mwenye elimu ya sekondari na anayeweza kuzungumza kwa ufasaha lugha za Kiswahili na Kingereza, awe mwepesi kupokea na kuzielekeza simu zote za mapokezi kwa mujibu wa mawasiliano, awe na tabia nzuri ya kuiuza kampuni mbele ya wateja wake. MAWASILIANO: Idara ya Rasilimali Watu, Patterson Group Ltd, Po Box 32292, Dar es Salaam. Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 21, mwaka huu.
KILOMBERO SUGAR COMPANY LTD NAFASI: Ofisa Mipango SIFA: Diploma ya Uhandisi au inayofanana kutoka chuo kinachotambulika, uzoefu angalau wa miaka mitatu kazini, anayezungumza na kuandika vizuri Kingereza, mzima kiafya na kiakili MAWASILIANO: Meneja Rasilimali Watu, Kilombero Sugar Company Ltd, Po Box 50, Kidatu Mwisho wa kutuma maombi ni Novemba 23, mwaka huu