Nafasi za Kazi 465 MDAs & LGAs, Mwisho wa kutuma maombi Jan 20, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia nne sitini na tano (465) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
-TABIBU MSAIDIZI DARAJA LA II (CLINICAL ASSISTANT II) NAFASI – 141
-DOBI (LAUNDERER) – NAFASI 3
-FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST II) NAFASI – 40 POSTS
-TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) –NAFASI 75
-AFISA FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPY OFFICER II) – NAFASI 6
-AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – NAFASI 50
-MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) –NAFASI 2
-MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II-RADIOLOJIA
(RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) – NAFASI 35
-AFISA USTAWI WA JAMII II (SOCIAL WALFARE OFFICER) NAFASI 5
-AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) – NAFASI 5
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Januari, 2025