The House of Favourite Newspapers

NAFASI ZA KAZI: MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III – 10 POST

 

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kata na kiungo cha Uongozi kwa Idara zote katika Kata na atashughulikia masuala yote ya Kata;
ii.    Atakuwa Mhamasishaji mkuu wa Umma katika mikakati mbalimbali ya uzalishaji, mali, kuondoa njaa na Umasikini;
iii.    Atakuwa ni Katibu wa kamati ya maendeleo ya Kata;
iv.    Ataratibu na kusimamia upangaji wa shughuli za maendeleo ya Kata, Vijiji na vitongoji;
v.    Atatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogondogo katika Kata yake.Atamsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Kata;
vi.    Kumsaidia na kumwakilisha Mkurugenzi katika kusimamia maendeleo ya eneo lake;
vii.    Kusimamia utendaji kazi wa wataalamu na watendaji wengine katika ngazi ya Kata;
viii.    Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi na nakala kwa Katibu Tarafa;
ix.    Atakuwa mwenyekiti katika vikao vinavyowahusisha wataalamu na watendaji wa Vijiji, na NGO’S katika Kata yake; na
x.    Atakuwa Msimamizi na Mratibu wa takwimu zote zinazokusanywa katika Vijiji, vitongoji, na Kata yake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa waliohitimu kidato cha IV au cha VI na kuhudhuria mafunzo ya Stashahada yenye mwelekeo wa Utawala (Public Administration and Local Gorvernment) au Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply

Comments are closed.