The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi saba (7) NIT NA TGFA, Mwisho wa kutuma maombi Novemba 7, 2024

Kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha mahiri, makini, uzoefu na watanzania wenye sifa zinazostahili kujaza nafasi saba (7) zilizoachwa wazi zilizotajwa hapa chini.

NAFASI ZA KAZI NIT NA TGFA >>>BONYEZA HAPA

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 Novemba 2024.