Nafasi za Kazi Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO)
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa ajili ya nafasi zifuatazo za kazi zilizo tangazwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).