The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi 30 Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Na Taasisi Ya Tiba Ya Mifupa Na Ubongo Muhimbili (MOI)

Taasis ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), wanakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na wenye ari ya kufanya kazi kujaza nafasi thelathini (30) zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.

-ARTISAN II (PAINTER) (01 POST)
-MEDICAL OFFICER II (15 POSTS
-RADIOGRAPHY TECHNICIAN II (02 POSTS)
-RADIOLOGY SCIENTIST II (02 POSTS
-SHOE MAKER II (02 POSTS)
-TECHNICIAN II (MECHANICAL) (01 POST)
-ICT OFFICER II (PROGRAMMER) (POST 1)
-ARTISAN II (AIR CONDITIONING AND REFRIGERATION) – 1 POST
-BIOMEDICAL ENGINEER- 2 POSTS
-MEDICAL SPECIALIST II (CRITICAL CARE) -1 POST
-MEDICAL SPECIALIST II (RADIOLOGY) -1 POST
-MEDICAL SPECIALIST II (CARDIOLOGY) 1 POST

Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 19 Machi, 2025.

BONYEZA HAPA KUSOMA >>>TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI JKCI NA MOI