Nafasi za Kazi: Wadada Wa Kuuza Duka Mliman City
Job Junction Tanzania wametangaza nafasi za kazi za kuuza duka Mlimani City Dar es Salaam Tanzania
VIGEZO:
VIGEZO:
1) Uwe smart /msafi/mwonekano mzuri
2) Uwe na umri usiozidi miaka 23
3) Uwe na Lugha nzuri kwa wateja
4) Awe Tayari kufanya kwa shift, mchana na usiku
5) Uwe mwanifu
MALIPO:
200,000Tsh (Laki mbili)
Mawasiliano: 0656116023