Nafasi Za Kazi BRELA Mwisho wa maombi ni leo Machi 11, 2025
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa zinazostahili wanaotaka kujaza nafasi tatu (3) za kazi zilizoainishwa hapa chini:
1. DEPUTY REGISTRAR – LICENSING (1 POST)
2. HEAD OF BUSINESS REGISTRY UNIT (1 POST)
3. PATENTS SECTION MANAGER (1 POST
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11 Machi, 2025.