The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Wilaya Ya Sikonge, Mwisho wa maombi Juni 29, 2025

Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo :