Nafasi za Msomo Chuo Kikuu DUCE (2020/2021)

Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE anatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2020/2020 masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) katika kozi zifuatazo.

  • Masters of Arts in Public Administration (evening program
  • Masters of Arts with Education katika mikondo ya Linguistic, Fasihi ya Kiswahili, Isimu ya Kiswahili, Literature na Geography.
  • Masters of Science with Education katika mikondo ya Biology, Chemistry na Mathematics
  • Masters of Education in Educational Leadership and Policy Studies
  • Masters of Science in Environmental Biology
  • Masters of Education in Curriculum Studies
  • Postgraduate diploma in Education inayofundishwa jioni na kwa njia ya mtandao (yaani online) kwa lengo la kuwawezesha waombaji wenye degree ya kwanza ambao hawakuwahi kusoma ualimu kuwa na sifa za kuajiriwa kama walimu.

Chuo kina mazingira mazuri ya kujifunzia, huduma bora za malazi na wahadhiri waliobobea kitaaluma.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chuo www.duce.ac.tz.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0718 595 845 au 0787 423 178
ONGEZA UJUZI NA MAALIFA KATIKA FANI YAKO KUPITIA ELIMU BORA INAYOTOLEWA DUCE
WOTE MNAKARIBISHWA.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Toa comment