The House of Favourite Newspapers

 Nai akana kutoa kibendi

VIDEO Qeen zao la Gigy Money, Kim Nana na Lulu Diva anayetikisa kwa kuuza vipodozi, Nai Kisa ‘Official Nai’ ameng’aka kuhusu uzushi unaovuma mtandaoni ukimuhusisha kuwa ni mjamzito. Akistorisha na Mikito Nusunusu, Official Nai alisema kuwa anawashangaa watu walivyokuwa wakimwambia kuwa ni mjamzito wakati hakuna ukweli.

“Watu wanapenda sana kuwasema wenzao sasa kipindi ambacho wananiambia kuwa nina ujauzito sasa hivi si ningekuwa nao mkubwa? “Wengine wanasema eti nimechoropoa, siwezi kufanya hicho kitu kwa kuwa mimi ni mwanamke ikitokea nimepata nitazaa tu mama yangu alinizaa mimi ni nani nisizae?,”Alisema.

STORI: NEEMA ADRIAN

Comments are closed.