Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Biteko Ahutubia Wananchi Wa Bukombe Sherehe za Kuupokea Mwaka Mpya 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka Mpya wa 2025. Sherehe hizo ambazo zimefanyika leo Januari 1, 2025 nyumbani kwa Mhe. Doto Biteko Kijiji cha Bulangwa wilayani Bukombe Mkoa wa Geita