Naibu Waziri Sanaa na Michezo Azindua Jengo la Yanga Baada ya kufanyiwa ukarabati – Video
NAIBU waziri wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA leo Februari 7, 2024 amezindua wa Jengo la Yanga sc baada ya kufanyiwa ukarabati.