Naibu Waziri wa Afya Awasili Ofisini Kwake Dodoma
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel amefika amewasili ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 21 Mei, 2020 baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo na Rais Magufuli leo Ikulu jijini Dadoma.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW