Namna Ya Kurejesha Tumaini Lililopotea
NAMNA YA KUREJESHA TUMAINI LILILOPOTEA ( HOW TO RESTORE A LOST HOPE), ni kitabu kilichoandikwa kwenye lugha mbili; Kiingereza na Kiswahili.
Kitabu hiki kimejikitika zaidi kwenye maeneo makuu manane:- 1. Namna ya kurejesha tumaini lililopotea kwenye anga ya uongozi na namna ya kuwa kiongozi bora;
2. Namna ya kurejesha tumaini lililopotea la kuwa mwanasiasa bora na mbinu za kufanya kampeni rafiki na safi kwa ajili ya uchanguzi;
3. Namna ya kurejesha tumaini lililopotea la kuwa mwajiliwa mzuri na vitu vya kufanya ili uwe mwajiliwa mzuri;
4. Namna ya kurejesha tumaini lililopotea la kuwa mjasiriamali mkubwa na vitu vya kufanya ili utimize ndoto yako ya kuwa mjasiliamali mkubwa;
5. Namna ya kurejesha tumaini lililopotea la kuwa mwanamuziki mkubwa na vitu vya kufanya ili uwe mwanamuziki mkubwa;
6. Tumaini lililopotea la kuwa muigizaji bora na vitu vya kuzingatia ili uwe mwingizaji bora;
7. Ushauri wa Mwandishi kwa mtu mmoja mmoja na Serikali vitu vya kufanya ili kuboresha maeneo sita (6) hapo.
Mwandishi wa Kitabu hiki ameandika kwa kuzingatia utafiti alioufanya pamoja na uelewa wake katika Jamii. Usikose uzinduzi wa Kitabu hiki utakaofanyika tarehe 23 November 2019, Dar es Salaam kama utapenda kuhudhuria tutaarifu kwa namba 0735 546 323 ili tukuletee kadi ya mwaliko
Author: @m.n.masala.


Comments are closed.