The House of Favourite Newspapers

Nandy Afungukia Penzi la Bill Nas

0

 

                                             Msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’.

MAYASA MARIWATA ILIKUWAJE? Msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefungukia skendo ya ku-date na msanii mwenzake, Bill Nass akikanusha kuwa hajawahi kufikiria kuhusu kuonja penzi lake.

Msanii wa Bongo Fleva, Bill Nass.

Nandy ameiambia Showbiz Xtra kuwa, si kweli kwamba, ana uhusiano na Bill Nass na anavyojua jamaa huyo ana-date na mtu mwingine anayemjua.

“Makubwa! Sijawahi kumfikiria kwenye akili yangu kama ninaweza ku-date naye. Duh! Kwanza najua ana mtu wake, sasa niingilie mapenzi yao ili iweje?” Alihoji Nandy

Leave A Reply