Nandy Ambabua Mtu Kisa Mimba, Isshu ya Uchawi Yahusika

NANDY au Nandera; ni mke halali wa Billnass au Nenga ambaye amembabua mtu mmoja aliyetoa maneno kuhusu mimba yake.
Mtu huyo ametoa komenti kwenye moja ya posti za Nandy inayoonesha akiwa anafanya photo shoot ya ujauzito wake ambapo alimwambia Nandy kuwa hawajui walimwengu kwa kuzidi kuonesha tumbo lake la ujauzito kwamba litarogwa.

Kufuatia komenti hiyo, Nandy ameonesha kukerwa na maneno ya shabiki huyo na yeye ameamua kumpiga mkwara kwa kumwambia siyo kila mtu wa kuingiwa kirahisi.
Cc; @sifaelpaul

