The House of Favourite Newspapers

Nani Ana Figa Matata? Amanda Achapa Lapa..

WIKI hii imekuwa mbaya kwa msanii wa Bongo Muvi, Amanda Posh kuchapa lapa. Hadi sasa wamebakia washiriki nane, kinachotakiwa wewe msomaji ndiye mwenye dhamana ya kumchagua mshindi kwa kumpigia kura yule unayeona ana figa bomba kuliko wengine.

Unafanyaje? Jibu ni rahisi! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia sms kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume kwenda namba 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.

AIDHA, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea na u-like!

Comments are closed.