Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, pamoja na kuishukuru serikali kwa kuahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya, ameitaka itimize ahadi ilizotoea kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika jimbo hilo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

 

Naye, akijibu hoja hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema serikali itahakikisha inajenga maeneo yote ambayo viongozi wa juu wametoa ahadi ikiwemo kwenye jimbo la Mtama.


Loading...

Toa comment