Global TV OnlineMichezo NASIBU RAMADHAN AMTWANGA YOHANE BANDA KUTOKA MALAWI Last updated Jul 24, 2017 0 Share Mtanzania, Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ (kushoto) akiwa na mpinzani wake Yohane Banda kutoka Malawi wakizipiga kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar . Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ (kushoto) akiendelea kumtupia makonde mazito mpinzani wake. Yohane Banda kutoka Malawi (kulia) akijitetea wakati wa mchezo. Yohane Banda akiwa chini. Refa akiongea na mabondia hao. Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ akiwa amebebwa baada ya kumpiga mpinzani wake . INSTALL GLOBAL PUBLISHERS APP sasa usipitwe na matukio PAKUA HAPA==>GLOBAL PUBLISHERS APP Global Tv Online 0 Share