The House of Favourite Newspapers

Natongozwa na Vibabu Tu

0

 

Na BUSARA ZIRO| GAZETI LA AMANI| MUULIZE BUSARA ZIRO

SHIKAMOO babu, mimi naitwa Aisha wa Buguruni, natamani sana kuolewa babu lakini tatizo langu vijana wenzangu hawanitongozi, sanasana natongozwa na vibabu tu, tena ambavyo vimeshazeeka eti nikawe mke wa pili. Nisaidie nifanyeje na mimi niolewe na kijana mwenzangu?

JIBU: Matatizo yenu mabinti wa siku hizi hamuamini kama hao vijana wenzenu siyo waoaji, sisi wazee ndiyo tunaojua kuwalea mabinti wazuri na wabichi kama wewe.

Mi nakushauri nitafute tuzungumze ana kwa ana huenda nikakupa mbinu nyingine nzuri tu na pengine utakubali mwenyewe kuwa mke wangu wa pili, sisi wazee tunajua mambo bwana, hamshangai bibi yenu kaniganda mpaka leo?

Leave A Reply