Nay: Mondi Akizingua Namchana

MSANII wa Bongo Fleva Elibariki Daniel ‘Nay wa mitego’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Mungu anakuona’ amesema kuwa hana bifu na msanii mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila akileta mambo ya kipuuzi anamchana.

 

Akizungumza na Showbiz, Nay alisema kuwa watu wengi wanadhani kuwa ana bifu na Diamond jambo ambalo si kweli.

 

“Mimi huwa sipendi mambo yakinafki, halafu sina bifu na Diamond, tupo poa kabisa! Lakini ikitokea analeta mambo yasiyoeleweka, nitamchana bila kumuogopa, lengo likiwa ni kuwekana sawa,’ alisema.

Kwa kuwa jambo hili linatakiwa lifanyike kesho, hatuwezi kukata rufaa, tunaamini mahakama ilikuwa na uwezo wa kuamua,” amesema Wakili Jebra.

Mahakama Yamkatalia Kabendera Kumzika Mama Yake – Video

Toa comment