The House of Favourite Newspapers

Nay wa Mitego Atiwa Mbaroni Morogoro

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego‘.

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva anayefanya sanaa yake tofauti na wasanii wengine, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego‘ inadaiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akiwa Hotelini mara tu baada ya kumaliza kazi zake.

Msanii huyo amekuwa akiimba nyimbo zenye tungo tata na inadaiwa huwenda amekamatwa kwa ajil ya kutumbuiza wimbo wake mpya ‘Wapo’, unaosambazwa katika mitandao ya kijamii.

 

Ujumbe wa Nay Mtandaoni.

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.