The House of Favourite Newspapers

NDAKI: Hatutaki Maelezo Mengine, Rudisha Shilingi 100 – Video

MBUNGE wa Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Kilimo amepinga utaratibu wa vyama vya ushirika kujifanya mawakala wa kuuza pamba za wakulima huku akidai viongozi wa vyama hivyo wamekuwa wakiwanyonya wakulima na kujinufaisha wenyewe.

 

MSIKIE HAPA AKILIPUKA BUNGENI

Comments are closed.