“NDEGE HII SIO YA CCM, NI YA WATANZANIA” – DKT MDOLWA – VIDEO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt Edmund Benard Mdolwa, amesema ndege kubwa iliyotua nchini leo pamoja na zile nyingine tano zilizotua awali ni mali ya watanzania wote bila ya kujali itikadi za vyama vya siasa na kwa kiasi kikubwa zitasaidia sana kuongeza uchumi wa Tanzania.

Loading...

Toa comment