Kartra

Ndemla Atambulishwa Mtibwa Sugar – Picha

Klabu ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, imefanikiwa kupata saini ya kiungo fundi mwenye uwezo wa kupiga mashuti ya mbali, Said Hamis Ndemla kutoka Simba Sc kwa mkopo wa mwaka mmoja.


Toa comment