The House of Favourite Newspapers

Ndugai Atangaza Jimbo la Singida Kaskazini Liko Wazi

0
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai amemuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mheshimiwa Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Ndg. Lazaro S. Nyalandu kufutwa uanachama na Chama cha Mapinduzi.

Leave A Reply