Ndugulile Ahutubia Bungeni, ”Wanaohoji Jimbo La Kigamboni Lipo Wazi, Bado Lina Mbunge” – Video
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambae siku chache zilizopita alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika, leo amerejea bungeni jijini Dodoma na kutoa shukrani zake kwa watu mbalimbali waliofanikisha ushindi wake.