Ndugulile aongoza wabunge wa Ulaya kuitokomeza malaria
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile, jana amewaongoza wabunge wa Uingereza na Ujerumani walioungana na wabunge wa hapa nchini katika kujadili jinsi ya kumaliza kabisa tatizo la malaria nchini.
Ndugulile aliwaongoza wabunge hao kwenye kikao kilichofanyika jana katika ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizopo jijini Dar.
Matukio katika Picha:
HABARI/PICHA€: RICHARD BUKOS NA NEEMA ADRIAN
Comments are closed.