The House of Favourite Newspapers

NEC Taifa Yatembelea Miradi Mikubwa Ya Serikali – Video

Ujumbe wa Kamati Kuu Taifa wa CCM, umefanya ziara ya kutembelea miradi mikubwa ya inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Mgufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho.

 

Miradi hiyo ambayo tayari imeanza kutekelezwa inatazamiwa kuwa kiungo kikubwa cha maendeeleo ya Tanzania na kuifanya kuwa nchi ya uchumi wa kati.

Tazama Hapa

Comments are closed.