NEC Yamteua Muttamwega Kugombea Urais Kupitia SAU

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Satia Musa kuwa mgombea wa nafgasi ya makamu wa rais kupitia chama cha SAU.

Toa comment